By | April 6, 2020

New Mafinga Health and Allied Institute Admission 2020 – 2021

New Mafinga Health And Allied Institute (New Mafinga) ni chuo cha afya kilichopewa usajili wa kudumu na NACTE, usajili namba….. Chuo hiki kilianza kutoa mafunzo katika kozi za afya tangu mwaka 2012. Mpaka sasa chuo hiki kinatoa mafunzo katika kozi za Uuguzi na Ukunga ngazi ya cheti (Certificate in Nursing and Midwife), Huduma ya Afya ya jamii (Certificate in Community Health), Clinical Officer ngazi ya cheti na Pharmacy ngazi ya cheti. Mchanganuo wa kila kozi upo hapa chini kwenye jedwali.

S/NJIna la KoziMuda wa
Kusoma(Miaka)
Ada kwa Mwaka
(Shilingi za Kitanzania)
01Technician Certificate in Nursing and Midwifery21,100,000
02Basic Technician Certificate in Community Health11,100,000
02Technician Certificate in Pharmacy21,100,000

Qualifications for Certificate of Nursing and Midwifery:   Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four(4) Passes in non-religious  Subjects including “D” Passes in Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A Pass in Basic Mathematics and English Language is an added Advantage.

New Mafinga Health and Allied Institute Contact Details

PHONE NUMBERS

  • +255 763 777 660
  • +255 754 680 886

E-MAIL

  • nemahuhai@yahoo.com
  • azaelyderick@gmail.com