St. Augustine Muheza Institute of Health Sciences Available Courses Offered

St. Augustine Muheza Institute of Health Sciences Available Courses Offered

St. Augustine Muheza Institute of Health and Allied Sciences

Stashahada ya Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwifery)

Kozi za miaka (3) mitatu. Sifa kujiunga:- Ufaulu wa angalau “D” takika Fizikia, Kemia na Biolojia kwenye CSEE

Stashahada ya Utabibu (Clinical Officer)

Kozi za miaka (3) mitatu. Sifa kujiunga:- Ufaulu wa angalau “D” takika Fizikia, Kemia na Biolojia kwenye CSEE

Stashahada ya Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwifery) kwa Wanaojiendeleza

1. Kwa njia ya masafa(e-learning) kwa miaka miwili. 2. Kujiendeleza (In-service) kwa mwaka mmoja. Sifa za kujiunga:- Cheti cha Uuguzi na Ukunga (NTA L5) Ufaulu katika CSEE: 1.1. Ufaulu katika Fizikia, Kemia na Biolojia kwa wahitimu wa mmwaka 2010 hadi sasa. 1.2. Ufaulu wa somo moja la sanyansi kwa wahitimu wa kabla ya mwaka 2010.

Stashahada ya Utabibu (Clinical Officer) Kwa Wanaojiendeleza

Kozi za mwaka mmoja. Sifa za kujiunga:- Ufaulu wa angalau “D” katika Fizikia, Kemia na Biolojia kwenye CSEE. Cheti cha Utabibu cha NTA L5